Friday, August 26, 2016

ANGALIA AZAM TWO TV NA AZAM HD SPORTS TV KWENYE SIMU YAKO


asa unaweza angalia Channel za kitanzania mbili ukiwa mtandaoni ambazo ni:-
1.AZAM TWO 
2. AZAM SPORTS HD.
Fuata hatua zifuatazo za kufanya ili uweze kupata huduma hii katika Simu yako:-
1. Download IPTV kwa kubofya hapa  
au  Download hapa kwa PLAYSTORE
au waweza tumia LAZY IPTV mbadala wa IPTV Download Lazyviptv hapa  kisha hakikisha zimeingia kwa Simu yako

No comments:

Post a Comment