Sunday, November 13, 2016

ANGALIA CHANEL ZA MPIRA KUTOKA NDANI NA NJE YA NCHI BILA KULIPIA.






DOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

DOWNLOAD Free Word to PDF Converter 2.50 Save as PDF

Download program hii kwa ajili ya kubadilisha word  document ili kuwa PDF document





DOWNLOAD VIDEO JOINER AND CUTTER



Habari ya kushinda ndugu....leo kwa mara nyingine tumerudi darasani kidogo ili kufahamu mambo mengi tafadhali tembelea hii blog mara kwa mara ili upate UPDATES za kila
siku.

Leo tunaleta program mpya kabisa ya kuunganisha vipande vya clip za video ili kupata video moja.

   BONYEZA HAPA   ili udownload hii program.


  BONYEZA HAPA ILI UONE TOFAUTI KUBWA KABISA

Saturday, November 12, 2016

JINSI YA KUONDOA ROOTING KWENYE SIMU YAKO( UNROOT)

 jinsi ya kuondoa Rooting access katika Simu/kifaa ya/cha android iliyokuwa rooted. Lakini kumbuka unaweza Root kifaa chako cha android kwa kutumia application mbalimbali zenye kuweza kufanikisha suala hili. Kwa mfano unaweza tumia  King root,iroot,kingo root(kwa pc pekee) na apps nyingine nyingi japo tulizozizoea ndo hizo.. Leo tutafahamishana jinsi ya juondo rooting katika kifaa chako ikiwa umeshafanya rooting na application yoyote ile.
  Kwanza tuanze na walio root na application ya  Kingroot  kuwa unaweza ku unroot/ kuondoa rooting access kwa kutumia hiyo hiyo  Kingroot . Fuata hatua zifuatazo ili kuondoa  Rooting access

1. Fungua app ya  kingroot  kwenye simu yako na uchague mahali palipo andikwa General Setting



2.Baada ya kuchagua general setting. Chagua mahali palipo andikwa Uninstall Kingroot.

MPYAA: GEUZA MAANDISHI YAKO KATIKA SIMU YAKO


Sasa waweza Geuza maandishi juu chini sehemu yoyote ile unayohitaji kutumia Mfano 
herufi 'e' inageuzwa nakuwa ə.
Usichelewe tumia Fliptext kugeuza chakufanya download app na uitumie kwa kuandika na kucopy maandishi na kuya paste mahali unapotaka kuyatuma.  Bofya hapa kudownload fliptext  au waweza ingia hapa kutumia bila App  bonyeza hapa kuandika 

Endelea kuwa nasi kwa maujanja zaidi
Mwambie na mwenzio
+255 767 574 013

Download Adobe photoshop cs5









System Requirements For Windows os

Intel® Core 2 or AMD Athlon® 64 processor; 2 GHz or faster processor Microsoft Windows 7 with Service Pack 1, Windows 8.1, or Windows 102 GB of RAM (8 GB recommended)2.6 GB of available hard-disk space for 32-bit installation; 3.1 GB of available hard-disk space for 64-bit installation; additional free space required during installation (cannot install on a volume that uses a case-sensitive file system)1024 x 768 display (1280x800 recommended) with 16-bit color and 512 MB of dedicated VRAM; 2 GB is recommended*OpenGL 2.0–capable system Internet connection and registration are necessary for required software activation, validation of subscriptions, and access to online services.**

License: trial/paid
Size: 1.7GB
Version:12

 Download Adobe photoshop cs5  

Friday, November 11, 2016

Download Adobe photoshop cc2015 -- mpya kabisa



Features of Adobe Photoshop CC 2015*.Ideal Tool for 2D & 3D Graphics;*.World #1 Image manipulation software;*.Enhanced 3D features;*.HDR & Panorama Merge Improvements;*.3D Printing;*.Linked Smart objects;*.Camera Shake Reduction;*.Enhanced CSS Support;System Requirements of Adobe Photoshop CC 2015Below are the minimum system requirements to run the raster graphicediting application.*.Operating System: Windows xp/Windows Vista/Windows 7/Windows 8/ Windows 10.*.Memory 2GB Ram.*.Hard Disk: 10GB Free Disk Space.*.Processor: Dual Core or Higher.*.Graphics Card: 256MB or Higher.



License: Trial/paid
Size:1.5GB
Version :  2015
 download Adobe photoshop cc 2015