JINSI YA KUONDOA ROOTING KWENYE SIMU YAKO( UNROOT)
jinsi ya kuondoa Rooting access katika Simu/kifaa ya/cha android iliyokuwa rooted. Lakini kumbuka unaweza Root kifaa chako cha android kwa kutumia application mbalimbali zenye kuweza kufanikisha suala hili. Kwa mfano unaweza tumia King root,iroot,kingo root(kwa pc pekee) na apps nyingine nyingi japo tulizozizoea ndo hizo.. Leo tutafahamishana jinsi ya juondo rooting katika kifaa chako ikiwa umeshafanya rooting na application yoyote ile. Kwanza tuanze na walio root na application ya Kingroot kuwa unaweza ku unroot/ kuondoa rooting access kwa kutumia hiyo hiyo Kingroot . Fuata hatua zifuatazo ili kuondoa Rooting access1. Fungua app ya kingroot kwenye simu yako na uchague mahali palipo andikwa General Setting
2.Baada ya kuchagua general setting. Chagua mahali palipo andikwa Uninstall Kingroot.
No comments:
Post a Comment